Nafasi Za Kazi: Watoa Huduma Kwa Njia Ya Simu Dar es Salaam

Posted by James James Private Dar es Salaam
Nafasi Za Kazi: Watoa Huduma Kwa Njia Ya Simu

Ad Details: Nafasi Za Kazi: Watoa Huduma Kwa Njia Ya Simu Dar es Salaam, Tanzania, TZ

Nafasi hii ni nusu ajira na nusu kujiajiri kama mtoa huduma kwa njia ya simu. Nafasi hii ni ya kimataifa. Unaweza kutoa huduma fulani kwa watu walio ndani ya nchi au nje ya nchi na zote unafanya kwa kupigiwa na kujibu simu zao. Unaweza kutoa huduma yoyote kama vile maelezo kwa wageni kuhusu eneo unaloishi au eneo lolote unalolifahamu popote duniani, msaada kwa wanafunzi katika somo fulani ambalo wewe ni mtaalamu au mwalimu, kutoa ushauri wa kitaalamu katika masuala ya afya,kilimo, mahusiano,ndoa,imani (dini), biashara, ufundi katika nyanja mbalimbali. Kutoa huduma za kiroho, kutoa ushauri au maelekezo katika jambo lolote ambalo una kipaji nalo, kuelezea historia au mila na desturi za kabila lako (hii inapendwa sana na wenzetu wazungu ambao hutumia muda na pesa nyingi kuja kutafiti mambo haya). Unaweza kutoa huduma yoyote au maelezo (information) unayofikiri wengine wanayahitaji popote duniani. Unaweza kutoa huduma ukiwa mahali popote na utaweza kuitoa kwa watu walio mahali popote duniani ilimradi mnaweza kuelewana lugha. Utalipwa kwa kila dakika unayojibu mahitaji ya wateja wako kwenye simu. Unahitaji kuwa na simu ya mkononi ili upokee simu za wateja. Ili kujua hasa mpango huu unavyofanya kazi,piga moja ya namba hizi , +355664309210 ,+355669141564, +68687601, fuata maelezo yaliyo katika ujumbe wa sauti ili uweze kujiunga na mpango huu. Ikiwa unapiga kutumia mtandao fulani na huzipati namba hizo jaribu kutumia mtandao mwingine. Unahitaji kuwa na salio la kawaida (siyo vifurushi) katika simu yako kuweza kupiga namba hizo. Hizo ni namba za kigeni na gharama ya kupiga iko juu. Ujumbe hauzidi dakika mbili. Hakuna kiwango maalumu cha elimu kinachotakiwa ila uelewa wa lugha ya kiingereza na uwezo wa kutumia mtandao wa internet vinahitajika ili kujiunga. Pia utatakiwa kuwa na akaunti ya benki. Hakuna gharama ya kujiunga. Utapata usaidizi wa kutosha na mfumo wa kiteknolojia bure kutoka kampuni utakayojiunga nayo. Kama maelezo ya kwenye ujumbe wa simu huyaelewi vizuri tafuta mtu mmoja au zaidi mwenye uelewa zaidi msikilize pamoja.
Interim VALORBIT Less than 1 year Part time International
✅ Do not forget to mention AFRIBABA during your call!
✅ Click below to contact James James
Contact the advertiser
James James
Loading...
For a better visibility, place your ad in VIP

Boost this Ad

Report any scams attempts
  • tz  Tanzania
  • Published: 02 Jan 2017 - 14:27
  • Visits: 1,676