Subira itakutuza - Mwanza

Price TZS 300

Posted by TENZI VIBE - Private

19 Feb 2021 - 02:30

Mwanza, Tanzania, TZ

SUBIRA ITAKUTUZA ni kitabu chenye mkusanyiko wa mashairi ishirini na nane aina ya tenzi yanayoelezea mambo ambayo vijana wanapaswa kuzingatia katika mahusiano yao ya kimapenzi. Mashairi haya yatawasaidia vijana kupata matokeo chanya yaliyomo katika mapenzi baada ya kujifunza; athari za kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa, jinsi ya kumtambua mwenzi sahihi, athari za kumchagua mwenzi ambaye siyo sahihi, jinsi ya kuishi kwenye uchumba na ndoani.

Nunua TENZI ZA KITABU HIKI; kwa njia ya WHATSAPP/TELEGRAM.
- SHAIRI moja ni Tshs,300/-
- Utenzi una MABETI 16.
- NB: Andika PROMO ONLY/SUBIRA ITAKUTUZA; kupata MUKTASARI wa KITABU HIKI bure.

NDUGU MTEJA;
- Tumia namba ya WHATSAPP/TELEGRAM,
- Kutuma JINA LA SHAIRI ulilolichagua,
- Pia tuma UJUMBE wa MUAMALA.
NB: M-PESA: (WILFRED MWERO)
*UTATUMIWA SHAIRI NDANI YA MASAA MAWILI*
✔Do not forget to mention AFRIBABA during your call!

Posting ref : TZ-A6996 computer

Leisure & Community CD/DVD - Books - Movies

744 people have viewed this Ad

Contact the advertiser TENZI VIBE


tz.afribaba.com is not responsible for the products or services offered in the advertisements and is not responsible for the actions of the users.


Subirira promo only

Posted by P TENZI VIBE 

Mwanza   CD/DVD - Books - Movies

19 Feb 2021 - 07:36