Subirira promo only Mwanza

Posted by TENZI VIBE Private Mwanza, Tanzania, TZ
Loading...
Loading...
Subirira promo only #1
Subirira promo only #2
Subirira promo only #3
Subirira promo only #4

Ad Details: Subirira promo only Mwanza, Tanzania, TZ

SUBIRA ITAKUTUZA ni kitabu chenye mkusanyiko wa mashairi ishirini na nane aina ya tenzi yanayoelezea mambo ambayo vijana wanapaswa kuzingatia katika mahusiano yao ya kimapenzi. Mashairi haya yatawasaidia vijana kupata matokeo chanya yaliyomo katika mapenzi baada ya kujifunza; athari za kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa, jinsi ya kumtambua mwenzi sahihi, athari za kumchagua mwenzi ambaye siyo sahihi, jinsi ya kuishi kwenye uchumba na ndoani.
✅ Do not forget to mention AFRIBABA during your call!
✅ Click below to contact TENZI VIBE
Contact the advertiser
TENZI VIBE
Loading...
For a better visibility, place your ad in VIP

Boost this Ad

  • tz  Tanzania
  • Published: 19 Feb 2021 - 07:36
  • Visits: 439